July 26, 2017

BREAKING NEWS WANANCHI WAANDAMANA KUMPINGA MWEKEZAJI KWA DC KASESELA

Wananchi wa kijiji cha Mkongati wilaya ya Iringa vijijini wakiwa wameandamana kufika ofisi ya mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela kupinga kupokonywa ardhi na mwekezaji leo 
DC Iringa Richard Kasesela akizungumza na wananchi waMkongati waliofika ofisini kwake 
Wananchi zaidi ya 100 wa kijiji cha Mkongati wilaya ya Iringa Leo wametembea umbali wa zaidi ya kilometa 30 kwenda ofisi ya mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela kupinga mwekezaji. 

Wananchi hao ambao wanadai walikuwa wakilima katika eneo hilo la mwekezaji George Emmanuli kuwa wamekuwa wakitishiwa kupokonywa eneo hilo. 

Walisema kuwa walipewa eneo hilo kwa ajili kuendelea kulima ila sasa wanapokonywa eneo hilo. 

Habari zaidi inakuja.... 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE