July 8, 2017

ASKOFU GAVILE AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MBUNGE WA KILOLO

Askofu wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT)  dayosisi ya Iringa mch Blaston Gavile kushoto akizungumza mjini Iringa asubuhi ya Leo na viongozi wa Kilolo kutoka kulia ni katibu wa CCM wilaya Bw clemence Mponzi, mbunge wa kilolo Venance Mwamoto na mwenyekiti wa ccm wilaya Seth Moto
Askofu Gavile kushoto akimsikiliza kwa makini mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto leo katikati ni mwenyekiti wa ccm kilolo Seth Moto

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE