June 13, 2017

ZITTO ,LISU ,POLEPOLE NDANI YA UZINDUZI WA RIPOTI ....

Mwaliko
Alhamisi Juni 15 2017, 11:00am - 1:00pm, 
(Saa tano asubuhi hadi saa saba mchana)
Mahali: Makumbusho Posta (Imetazamana na chuo cha IFM)


TwawezaInakualika katika 

UZINDUZI
 Ripoti : Matarajio na Matokeo
Vipaumbele, utendaji na siasa nchini Tanzania
 
Waendesha mada:
Aidan Eyakuze, Twaweza 

Wageni waalikwa:
Humphrey Polepole | CCM
Nderakindo Kessy | NCCR Mageuzi
Tundu Lissu | CHADEMA
Zitto Kabwe | ACT Wazalendo 

Muda: 11:00am – 1:00pm (Saa tano asubuhi hadi saa saba mchana)
Tarehe: Alhamisi Juni 15, 2017
Mahali: Makumbusho Posta (Imetazamana na chuo cha IFM) 


Taarifa muhimu kwa waandishi

Uzinduzi huu utafanyika katika Makumbusho Posta kama ilivyozoeleka. Kutakuwa na muda maalum baada ya uzinduze kwa ajili ya waandishi wa habari. 

  
****************************** ****************************** *********************

Launch Invitation
Thursday 15 June 2017, 11:00am – 1:00pm
(Eleven in the morning to one pm in the afternoon)
Venue: National Museum (Opposite IFM)

TwawezaInvites you to the 


 LAUNCH of
 Report : The end of the beginning?
Priorities, Performance and Politics in Tanzania


Moderator: 
Aidan Eyakuze, Twaweza

Invited Speakers:
Humphrey Polepole | CCM
Nderakindo Kessy | NCCR Mageuzi
Tundu Lissu | CHADEMA
Zitto Kabwe | ACT Wazalendo 

Time: 11:00am - 1:00pm
Date: Thursday June 15, 2017
Venue: National Museum in Posta (Opposite IFM)

Important notice to media

This month’s Sauti za Wananchi Launch will be held at the National Museum in Posta where they are frequently held. There will be a special segment for media at the end of the launch.  

We hope to see you all there. 

Kind regards, 

Tunu A. Yongolo | Communications Officer
Twaweza East Africa
127 Mafinga Rd, off Kinondoni Rd
PO Box 38342, Dar es Salaam, Tanzania
T: +255 22 2664301-3
E: tyongolo@twaweza.org 
W: www.twaweza.org

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE