June 22, 2017

YALIYOJIRI KWENYE BUNGE LA TANZANIA LEO


PIX 1 Mhe.Tulia
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson  akiongoza    kikao cha hamsini na Tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
PIX 2 Mhe.Mpango
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Philip Mpango  akisoma kwa mara ya pili muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2017 katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
PIX 3 Mhe.Mavunde
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi ,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge  katika kikao cha hamsini na tatu  cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
PIX 4 Mhe.Jafo
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
PIX 5 Mhe.Makani
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii  Mhe.Ramo Makani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
PIX 6 Mhe.Maghembe
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge  katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
PIX 7 Magamba Lukuvi na Msigwa
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi,Prof Palamagamba Kabudi  wakizungumza jambo na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe.Mchungaji Peter Msigwa  katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
PIX 8 Mhe.Fautine Ndungulile
Mbunge wa Kigamboni Mhe.Dk Faustine Ndugulile akiuliza swali katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
PIX 9 Mhe.Chatanda
Mbunge wa Korogwe Mjini Mhe.Mary Chatanda akiuliza swali katika kikao cha hamsini na tatu cha mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
PIX 10 Mhe.Sima
Mbunge wa Singida Mjini  Mhe.Mussa Sima akiuliza swali katika kikao cha hamsini na tatu cha mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
PIX 11 Mhe.Ulega
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi ,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Mbunge wa Mkuranga Mhe.Abdallah Ulega katika kikao cha hamsini na tatu cha mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
PIX 12 Mhe.Kabudi
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao katika kikao cha hamsini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
PIX 14 Spika akiingia
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson  akiingia Bungeni   kuongoza kikao cha hamsini na Tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE