June 24, 2017

WANANCHI IRINGA WAANDAMANA KUMPONGEZA RAIS DKT MAGUFULI -MUBASHARA

Mkuu  wa  mkoa  wa  Iringa Amina  Masenza  akimpongeza  askofu  mstaafu  wa kanisa la  kiinjili la  Kilutheri Tanzania (KKKT)  dayosisi ya  Iringa  Dkt  O Mdegella  kwa  hotuba  yake ya  kumpongeza  Rais  Dkt  John Magufuli  leo  katika  uwanja wa  Mwembetogwa 
Baadhi ya  wana CCM  waliofika  kuungana na wananchi  kwenye  maandamano ya  kumpongeza  Rais Dkt  Magufuli  
Salam  za  viongozi  mbali mbali  zikitolewa 
Aliyepata  kuwa  mgombea  Urais CCM wakati wa  kura za maoni  Monica  Mbega  akifurahia  jambo 
Viongozi  wa  mkoa  na  wale wa  wazee  wakiwa  wamesimama  kumpongeza  askofu Dkt  Mdegella
Askofu  Dkt  Mdegella  akipongezwa 
Wazee  Iringa  wakimpongeza  Dkt  Mdegella

Maandamano ya  wasomi  kumpongeza  Rais  Dkt  Magufuli  leo 
Usikose  habari  kamili  katika mtandao  huu na gazeti la  Rai  Alhamis  hii ambalo  litachambua kwa  kina  kwanini Rais Dkt  Magufuli  apongezwe  

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE