June 7, 2017

WANAFUNZI WA SHULE YA SOUTHERN HIGHLAND WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO ZANZIBAR

Ziara   ya mafunzo ya  wanafunzi darasa  la  sita  na  walimu  wa shule ya  Southern  Highlands Mafinga  mjini Zanzibar 


Shule   hiyo imesambaza  wanafunzi  wake  katika  maeneo  mbali mbali kwa  ajili ya mafunzo  kwa vitendo wapo  waliopo  nchini Kenya , Hifadhi ya  Ruaha ,Bagamoyo , Zanzibar  na maeneo  mengine  mzazi  usisumbuke   na  shule zisizo  na ufundishaji  bora  mpeleke  mwanao  Southern Highlands  Mafinga  ni  shule inayofundisha   mwanao  kufaulu na  kuwa na uelewa  mpana  zaidi  piga  simu namba 0754651966/0752840884/0756749151

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE