June 8, 2017

UZALENDO KWA TAIFA LETU

Vijana  wa wasomi  wa   UVCCM mkoa  wa  Iringa wakiwa  wamesimama  kwa  utii  wa  hali  ya  juu wakati  bendera ya Taifa iliyopo  ofisi  za Halmashauri ya  Iringa  ikishushwa ,huu  ni uzalendo ambao  kila mmoja anapaswa  kuufuata  pale  bendera  ya  Taifa  inapopandishwa ama  kushushwa  lazima usimame  kwa  utii kuheshimu bendera  ya  Taifa
Katibu  UVCCM Iringa mjini  Alphonce Mnyinga kushoto  akionyesha  uzalendo  na  heshima kwa  bendera ya  Taifa  pamoja na  vijana  wenzake

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE