June 3, 2017

UTALII MPYA KILOLO IRINGA

Hiki  ni kivutio  kipya  cha utalii  katika  wilaya ya  Kilolo mkoa  wa  Iringa
Mkuu wa mkoa  wa  Iringa  Amina  Masenza akitazama  moja kati ya vivutio  vya  utalii katika  wilaya ya  Kilolo
Iwapo  wilaya  ya  Kilolo itatangaza vivutio  vya utalii  watalii  zaidi  watafika  kuingiza  pesa  Kilolo

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE