June 7, 2017

USIKOSE GAZETI LA RAI KESHO JUNI 8/2017

Gazeti  la  Rai  ni gazeti la  wiki linalochapwa na kampuni ya New  Habari (2006)  ni  moja kati ya magazeti  maarufu  hapa nchini kwa habari za  uchunguzi na hupatikana  nchi  nzima kwa  Alhamis  hii  linakuja  na kubwa zaidi kuhusu  uteuzi wa mwenyekiti wa ACT  Wazalendo  kuwa RC  serikali ya  CCM ,kumbuka  Rai ni  nguvu ya  hoja  tunaleta  hoja  zaidi soma Rai  unufaike  na  mengi zaidi pia  jitangaze  na magazeti  ya  Rai , Mtanzania , Bingwa , Dimba na The  Africani haya  ndio  magazeti  pendwa  kwa  watanzania kwa habari za kina na uhakika  zaidi

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE