June 7, 2017

STARS YAWASILI NCHINI MCHANA HUUTimu ya Taifa ya Tanzania Maarufu kama Taifa Stars wamewasili salama Tanzania mara baada ya kumaliza kambi yao ya maandalizi ya wiki moja huko nchini Misri. Stars Itashuka Jumamosi katika uwanja wa Chamazi kucheza na Lesotho.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE