June 7, 2017

SPANEST YASAIDIA WAFUGAJI JAMII YA KIMASAI MLOWA KUJENGA MAJENGO YA UUZAJI BIDHAA ZA KITALII

Mteja  akichagua  nyama  ya  mbuzi inayouzwa na  wafugaji  jamii ya  kimasai  kijiji cha Mlowa  Iringa eneo  ambalo Mradi  wa  SPANEST  umewajengea  jengo la  kitalii
Nyama  ikisubiri  wateja
Hili  ni  jengo  ambalo mradi wa  SPANEST   unawajengea  wafanyabiashara  wa bidhaa za kitalii 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE