
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa
ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu
kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa
wasomi wa Tanzania . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoaja na balozi wa China nchini Dkt.Lu Youqing ,MAKAMU
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala na
viongozi wengine wa Serikali na wa Chama cha Wafanyabiashara wa China
nchini Tazania mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa
za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo
makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzania

Sehemu ya Vijana waliojitokeza
kwenye ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo
vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira
kwa wasomi wa Tanzani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi. (Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)

Sehemu ya Vijana waliojitokeza
kwenye ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo
vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira
kwa wasomi wa Tanzani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi. (Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)


PROF. RWEKAZA S. MUKANDALA. VICE CHANCELLOR Professor Rwekaza Sympho Mukandala akizungumza katika mkutano huo.


Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. LU Youqing akizungumza mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment
AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE