June 23, 2017

RC IRINGA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MKE WA RTO IRINGA

Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza katikati na katibu tawala mkoa Wamoja Ayubu wakimfariji kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Iringa jioni hii wakati wa kuaga mwili huo unaotaraji kusafirishwa saa 11:00 jioni kwenda Kijiji cha Namabengo wilaya ya namtumbo Mkoani Ruvuma kwa mazishi.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE