June 6, 2017

HIVI NDIVYO WABUNGE WALIVYOWAPOKEA WANAFUNZI WA SOUTHERN HIGHLANDS MAFINGA BUNGENI DODOMA

Naibu  waziri  wa Afya Dkt KHamis  Kigwangala kushoto akiwa na wabunge  mbali mbali  wakiongozwa na wabunge wa  mkoa  wa Iringa Rose Tweve ,Cosato  Chumi  na Ritta  Kabati  wakiwa  katika  picha ya pamoja na  wanafunzi wa  shule ya  Southern  Highlands  Mafinga  baada ya  kutembelea  bunge  ,wanafunzi hao  wapo katika  ziara ya  kimasomo  mjini  Dodoma 

Wanafunzi wa  shule   bora  inayoongoza  kwa  ufaulu  mkoani  Iringa  Southern Highlands  Mafinga  wakiwa  nje ya   bunge na  wabunge  wanaotoka  mkoa  wa Iringa  na  wabunge  wengine  pamoja na  walimu na wajumbe wa  bodi ya  shule   hiyo  wakiwakilishwa na Marcelina  Mkini  mjumbe wa NEC  (wa wa nne kutoka  kushoto mstari wa nyuma  kabisa ) wengine ni  mbunge   wa viti maalum  mkoa wa Iringa  Ritta Kabati   kulia  kwake ,wa  wa  sita  ni  mbunge wa  viti maalum mkoa wa Iringa Rose  Tweve na wa  pili  kulia ni  mbunge wa  jimbo la  Mafinga mjini  Cosato  Chumi 


Mke  wa  Rais mstaafu   wa  awamu ya  nne  mama  Salma  Kikwete  akizungumza na  wanafunzi wa  shule ya  Southern Highlands Mafinga  Bungeni  Dodoma 

Mbunge  Rose  Tweve  wa  viti maalum  mkoa wa Iringa  kushoto na  Ritta Kabati wa  pili  kushoto wakiwa  katika  picha ya pamoja na wanafunzi wa  shule ya  Southrerm Highlands  Mafinga  pamoja na  mke wa Rais mstaafu wa awamu ya  nne  Salma Kikwete  aliyevaa kirembaPicha  zote   kwa  hisani ya  mbunge wa  jimbo la Mafinga  mjini Mh  Cosato  Chumi  ambae ni mdau wa  matukiodaimaBlog 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE