June 4, 2017

MWENYEKITI WA ACT WAZALENDO ALIYETEULIWA NA RAIS URC ,AJIVUA UNACHAMA

Taarifa Kwa vyombo vya habari

Mimi Anna mgwira nimejivua uwanachama wangu ACT-Wazalendo ili nikaweze kuwatumikia wana Kilimanjaro

Kwakua nimejivua uwanachama mwenyewe moja Kwa moja nyadhifa zangu zote zitakuwa hazipo

Namshukuru sana mh zitto Zuheri kabwe na wanachama wote ACT-Wazalendo kwakuniamini na kunipa nafasi ya kuwaongoza

Hivyo kuanzia Leo tarehe 4/6/2017 Mimi sio mwanachama tena wa ACT-Wazalendo

Kazi yangu sasa ni kuwatumikia wananchi kupitia nafasi yangu ya sasa ya Ukuu wa Mkoa Kilimanjaro

Hii ni heshma kubwa kwangu na Kwa familia yangu Kwa ujumla

Mungu awabariki

Anna mgwira

Leo 4/6/2017: saa7:30 mchana

MATUKIODAIMA TUNAENDELEA KUMTAFUTA MWENYEKITI HUYO ILI AWEZE KUTHIBITISHA TAARIFA HII AU KIONGOZI MKUU WA CHAMA HICHO ZITTO KABWE AMBAE SIMU YAKE INAUTA BILA KUPOKELEWA

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE