June 19, 2017

MREMBO ANAYETESEKA NA KANSA

Stori Inayo Gusa na Kuumiza sana

Nnaitwa Angela, Naomba Muda wako japo kidogo usome stori hii mpaka mwisho.
Najua una mama, dada, pia hata girlfriend au mke, Wote hao ni wanawake.
Tazama picha yangu kabla sijapatwa na kansa, Jinsi nilivyokuwa Mzuri na Kuvutia.
Nimekuwa nikihangaika kutafuta matibabu kwa miaka sita sasa,Ziwa moa la upande wa kulia lilikua limeanza kupona vizuri lakini ghafla kansa ikaenea ziwa la kushoto kwa haraka na kuoza kama unavyoona pichani,
Maisha yangu yamekuwa ya Kusikitisha sana, yamejaa huzuni na Machozi, Nimekwenda kila hospitali nimepoteza hela zote mpaka sasa nimeishiwa kabisa.

Naumia sana kila nikikumbuka nilivyokuwa na nilivyo sasa, Nakuomba ewe msomaji wa habari hii ushirikiane na mimi katika kuomba.
Namuomba Mungu aniponye na Ugonjwa Huu Mzito nisioweza kuubeba, Na Mungu ambariki Yeyote anaye Type Amen kwaajili ya afya yangu,Kwa Mara nyingine Namwomba Mungu awaepushe dada zako, mke wako,binti yako,mama yako na maumivu haya nnayoyapitia,
Kama Unamoyo Na Unaelewa nnayo yapitia , Basi Usidharau na Mungu atakupe Amani na Mafanikio Yenye furaha uki type Amen.
Type Amen Tafadhali, kwasababu naamini maombi yako yatanisaidia sana haswa nira hizi zilizonifunga zifunguke.
Amen yako moja ni maombi 1000 ya uponyaji wangu, ni maombi yako ndiyo Dawa katika Ugonjwa wangu Huu usio na Tumaini.
TAFADHALI WANAWAKE WENZANGU 
Like na Share Stori Hii kwenye Magroup mengine na isambaze Kuwa fariji Wengine wanao pitia Magumu.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE