June 1, 2017

MHANDISI MANISPAA YA IRINGA SHIMO HILI JIRANI NA MAHAKAMA YA RUFAA MKOA WA IRINGA UNALIONA?

mwanahabari  Nyaulingo wa  kituo  cha  TV 1 akionyesha  shimo ambalo  linaendelea  kuchimbika katika barabara  ya  kuelekea  Hospitali ya  Rufaa ya  mkoa wa Iringa jirani  kabisa na jengo  la Mahakama kuu kanda ya  Iringa na nyumbani kwa  mkuu wa wilaya ya  Iringa leo ,shimo  hili linalalamikiwa  sana na  madereva na  limekuwa  likisababisha  magari kupata pacha na  lipo  jirani kabisa na ofisi  za mhandisi  wa  ujenzi  Manispaa ya  Iringa 
Hivi  ndivyo  shimo hilo  linavyozidi  kuongezeka 
Sehemu ya  shimo  hilo linavyoendelea  kusogea  barabarani 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE