June 20, 2017

MFANYABIASHARA IRINGA AFUMANIWA AKIVUNJA AMRI YA SITA NA KADENTI

Mfanyabiashara maarufu mjini Iringa Katito Ngaga amefumaniwa akivunja amri ya sita na denti wa kidato cha kwanza Shule ya sekondari Mtwivila.

Kukamatwa kwa mfanyabiashara huyo kumekuja baada ya mtego uliowekwa na wazazi wa denti huyo na kufanikiwa kumnasa mfanyabiashara huyo akiwa chumbani kwa wazazi wake .

Usikose habari kamili gazeti la Amani wiki hii

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE