June 26, 2017

MASIKINI LOWASA YAMEMKUTA

Waziri mkuu mstaafu na kada wa Chadema Edward Lowasa atakiwa kujisalimisha ofisi ya mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai DCI)  ofisi kwake  kesho saa nne asubuhi.

Hivi karibuni Lowasa alitoa kauli za kichochezi wakati wa futari jambo ambalo ni kinyume na sheria 

Usikose kujua zaidi endelea kuwa na matukiodaima tunaanzia walipoishia wengine. 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE