June 8, 2017

MASHINDANO YA SPORTPESA YAVUNJA REKODI YA KUANGALIWA ZAIDI

Mashindano ya SportPesa Super Cup yanayoendelea kufanyika hapa nchini yamekadiriwa kukamata na kuteka hisia za wapenda soka na burudani zaidi ya Milioni 7 kwa siku mbili za kwanza za mchezo huo unaorushwa kupitia kampuni ya ITV na EATV.
Kwa mujibu wa kampuni ya Geopoll inayofanya utafiti kwenye vyombo vya habari yameonyesha kuwa mashindano ya SportPesa Super Cup yaliyoanza kuonyeshwa siku ya Jumatatu yametazamwa na watu mili 7.5, huku yakitarajiwa kuendelea leo. 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE