June 6, 2017

MAMA SALMA KIKWETE AIPONGEZA SHULE YA SOUTHERN HIGHLAND YA MAFINGA


 

Mke wa rais mstaafu wa awamu ya nne na mbunge wa bunge la Tanzania Salma Kikwete amepomngeza uongozi wa shule ya southern  Highland ya Mafinga kwa kazi nzuri ya kuwawezesha wanafunzi kujifunza  historia ya nchi.

Salma ambaye  ni mbunge wa kuchaguliwa na rais ametoa pongezi hizo  leo mjini ododma wakati akiongea  na wanafunzi wa shule hiyo  na mbunge wa mafinga mjini Cosato Chumi mara baada ya kutembelea bunge.

Amesema  amependezwa na utaratibu wa uongozi wa  shule hiyo kuwaandalia ziara za  mafunzo wanafunzi wake,0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE