June 24, 2017

MAANDALIZI YA KUMWEKA WAKFU ASKOFU KKKT DAYOSISI YA IRINGA KESHO YAKAMILIKA

Maaskofu mbali Mbali na askofu mteule Blaston Gavile kushoto wakiwa jukwaa kuu leo kwa ajili ya maandalizi ya ibada ya wakfu kesho uwanja wa shule ya msingi Gangilonga 
Askofu mstaafu dkt Mdegela aliyesimama akiwa jukwaani na maaskofu wengine
Picha na Tukuswiga Mwaisumbe

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE