June 14, 2017

KAMPUNI YA SIMU YA Aitel CHUO CHA VETA WATANGAZA KOZI 5 KUPITIA SIMU YA MKONONI

Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel, Beatrice Singano, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kozi tano mpya kwenye awamu ya pili ya mpango wa kutoa mafunzo ya ufundi stadi kupitia programu ya VSOMO inayoratibiwa na   kampuni ya Airtel. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dk. Bwire Ndazi
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dk. Bwire Ndazi akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kozi tano mpya kwenye awamu ya pili ya mpango wa kutoa mafunzo ya ufundi stadi kupitia programu ya VSOMO inayoratibiwa na   kampuni ya Airtel, Dar es Salaam jana.Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel, Beatrice Singano.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE