June 8, 2017

HUU NI UHARIBIFU WA MAZINGIRA UNAOFANYWA KANDO KANDO YA MITO NDANI YA MITA 60 WILAYA YA IRINGA

Vijana   wakiendelea  kufyatua  tofali  katika  eneo la Muwimbi  wilaya ya  Iringa kando kando  ya  mto ,hivi  sasa  serikali  imeagiza  wote  wanaoendesha  shughuli hatarishi  kwa mazingira ndani ya  mita  60  kutoka katika  kingo  za  mito  kuondoka 
Hivi  ndivyo  mazingira  yanavyoharibiwa  eneo hili  ambalo  lipo kando kando ya  barabara  kuu ya  Iringa ,Mbeya 
Vijana  wakiendelea  kufyatua  tofali  eneo la Muwimbi  Iringa 
Eneo  hili  ni  moja kati  ya maeneo  maarufu kwa  ufyatuaji wa tofari   katika wilaya ya  Iringa 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE