June 13, 2017

HONGERA RAIS DKT MAGUFULI KWA HILI LA MAKINIKIA ,BADO HILI ......

Rais  JPM 
RAIS Dkt  John Magufuli  ameonyesha  ukweli  kuwa  Taifa   letu    Tanzania  ni  Taifa  lenye utajiri  mkubwa  kupitia  raslimali  zake  ila lilikuwa na  watu  maskini   kwa miaka  yote  tangu  nchi  ipate  uhuru  waka  mwaka 1961  kutokana na  viongozi  wachache  kujinufaisha  na raslimali  za  nchini  hii ila  sasa  tunashuhudia  utajiri  wetu  jinsi  utakavyo tufaidisha  iwapo   mikataba  yote  ikiwemo ya .........
USIKOSE KUSOMA  KUPATA NAKALA YA GAZETI LA  RAI  ALHAMISI  June 15,2017  LIMEFICHUA MIKATABA ZAIDI  MIBOVU ,  iwapo  wahitaji  kujulikana  zaidi  wasiliana nasi  kwa matangazo  ya  biashara  na  huduma  yako  piga  simu 0754 026299

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE