June 8, 2017

HONGERA MHANDISI MANISPAA YA IRINGA KUZIBA SHIMO HILI ,DABO JINGINE HILI

Shimo  ambalo  mtandao  huu  wa  matukiodaima  ulilitangaza  kama  kero  kubwa  katika  barabara  ya  Kuelekea  Hospitali  ya  rufaa ya  mkoa wa Iringa na mahakama  kuu  kanda ya  Iringa  wiki  moja  iliyopita  hivi  sasa  limezibwa na  uongozi  wa  barabara Manispaa ya  Iringa  jambo  ambalo wanapaswa kupongezwa  kwa kazi nzuri  hii
Hili ni  shimo  jingine  jipya  lililopo  eneo  hilo na jingine  lipo  barabara  kuu ya  kutoka  Hospitali ya  Rufaa mkoa  wa Iringa  kuelekea  ukumbi  wa  Siasa ni  Kilimo jirani na  kituo  cha  damu  salama  kilichojengwa na familia ya  Asas,

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE