June 8, 2017

HII SASA HATARI TAZAMA PICHA HIZI

Wakazi  wa Idodi  wilaya ya  Iringa   wakiwa  wamepanda  mshikaki   katika boda  boda  kama  walivyokutwa na kamera ya  matukiodaima
Kijana  Onesmo  mkazi wa  kijiji  cha Majengo  kata  ya  Mlowa wilaya  ya  Iringa  akichunga ng'ombe kama  alivyokutwa na kamera ya  matukiodaima ,kijana  huyo  analipwa  shilingi  200,000 pekee  kwa mwaka na  wazazi  wameshindwa  kumpeleka   shule ili  aifanye kazi   hiyo  kwa  ajili ya  kuiingizia  pesa familia  

mwendesha  boda  boda mfanyabiashara   ya  pombe  ya ulanzi  akisafirisha pombe  hiyo  kutoka Tanangozi  Iringa kwenda Idodi  Iringa

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE