June 11, 2017

HAPA NI MWENDO WA KAMATAKAMATA

Askari  wa  usalama  barabarani mjini  Iringa wakiwa  wamekamata  boda boda  ambayo  dereva  wake  alikimbia  baada ya  kusimamishwa  kwa kosa la  kumpakia  abiria  pasipo  kuvaa kofia  ngumu jana  eneo la  Posta mjini Iringa
Askari  hao na  dereva bajaji  wakipakia  boda  boda  iliyotelekezwa

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE