Majeruhi wa Lucky Vincent kurejea nchini Agosti

Taarifa hiyo imetolewa na Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu katika mtandao wake wa kijamii wa Facebook.
Pia,
Nyalandu ameandika katika mtandao huo kuwa watoto hao; Doreen Mshanga,
Saidia Ismael na Wilson Tarimo wanategemewa kutembea tena.
Hata
hivyo, kwa sasa Doreen, atahamishiwa katika kituo maalumu kwa ajili ya
matibabu ya uti wa mgongo cha Madonna katika mji wa Lincoln, Nebraska.
“Katika watoto wote hao watatu, Doreen ni muujiza mkubwa zaidi,” amesema Nyalandu.
0 comments:
Post a Comment
AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE