June 21, 2017

DC KILOLO ATOA FUTARI KWA WANANCHI WA KILOLO NA VIONGOZI MKOA

Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza kulia na mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalah kushoto wakishiriki futari leo wilaya ya kilolo iliyoandaliwa na mkuu wa wilaya ya Kilolo kwa waumini wa dini ya kiislamu ,kikristo na wadau wa maendeleo kilolo 
Mkuu wa wilaya Iringa Richard Kasesela katikati akiwa na watumishi Kilolo
Mkuu wa wilaya ya Mufindi Jamhuri Wiliam na mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela kulia 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE