June 12, 2017

BREAKING NEWSSS WACHIMBAJI NYAKAVANGALA WAFUKIWA MGODINI

Habari za uhakika ambazo mtandao wa matukiodaima umezipata ni kwamba wachimbaji wa mgodi ktk machimbo ya dhahabu Nyakavangala Tarafa ya Ismani wilaya ya Iringa mkoani Iringa wamefukiwa na kifusi wakiwa mgodini.

Diwani wa kata ya Malengamakali Franzisca  Kalinga amezungumza na mtandao wa matukiodaima kwa simu kuwa tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Leo na kuwa jumla ya wachimbaji wanne ndio waliokuwepo ndani ya Mgodi huo na jitihada za kuwaokoa zinaendelea.

Taarifa zaidi zitakujia hapa endelea kutembelea mtandao huu wa matukiodaima.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE