June 20, 2017

BREAKING NEWS ALLY YANGA AFARIKI DUNIA....

>

Habari za kusikitisha zilizoufikia mtandao huu wa matukiodaima zinadai kuwa mwanachama maarufu wa Yanga  ,Ally Yanga amefariki dunia kwa ajali ya gari  akiwa katika mbio za mwenge wa Uhuru wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma Leo.

Yanga kifo chake kimetokana na gari alilokuwa akisafilia kuacha njia na kupinduka  wakati akiwa kwenye shughuli za mbio za mwenge

Taarifa zaidi tutawapatia baada ya kuzungumza na msemaji wa familia

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE