May 24, 2017

WAZIRI PROF MUHONGO , MGUU NDANI MGUU NJE ,RIPOTI YA MCHANGA WA MADINI YA RAIS DKT MAGUFULI

Ripoti  ya  uchunguzi  ya mchango  wa madini  iliyotolewa leo na Rais Dkt  John Magufuli ina kila dalili ya  kumwondoa katika nafasi  yake  Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kutokana na ripoti  hiyo  kuonyesha  kumtaja  kuzembea katika nafasi yake .

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE