May 18, 2017

WAZIRI MWENZETU MWIGULU AFUTA PF3 KWA MAJERUHI WA AJALI

Tumeamua, majeruhi, mahututi asiyeweza kutoroka,na mtu mwenye majeraha yasiyo na utata  wapewe matibabu KWANZA bila PF3.
Hatua za kufuata PF3 zianze mara moja  wakati akiendelea kupewa matibabu, hii tunalenga kuokoa maisha  ya ndugu zetu kwanza.

Utaratibu huu unajicho la karibu kutoka kwenye vyombo vyetu vya usalama ili kubaini ukweli jeraha la mhusika.

WMNN -Hon. Mwigulu Nchemba.

18/05/2017

Dodoma-Tanzania

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE