May 9, 2017

WANANCHI KILOLO WATAKIWA KUUZA MAZAO YAO KWA VIPIMO SAHIHI


Mkuu  wa  wilaya  ya  Kilolo  mkoani  Iringa  Asia  Abdalah  akiwataka  wananchi wa  kijiji  cha Irindi na Magana  kata ya  Mahenge  kuachana na uuzaji mazao kwa  vipimo batili
Wananchi  wa  wakiendelea  kusoma  vipeperushi  vya  elimu sahihi ya  vipimo  wakati  mkutano wa  DC  ukiendelea
Mkuu  wa  wilaya  ya  Kilolo  Asia Abdalah  akiwahutubia  wananchi  mwenye   kilembe  cha madoa mekundu ni meneja  wa  vipimo  mkoa wa Iringa Zainabu Kafungo

Mwananchi  akishukuru kwa  elimu  nzuri ya  vipimo

Na  MatukiodaimaBlog
SERIKALI  wilaya ya  kilolo mkoa  wa Iringa  imewataka  wananchi  wa  wilaya   hiyo  wanaojishughulisha na  kilimo cha mazao  mbali  mbali  kuacha  kuuza  mazao yao kwa   vipimo visivyo  sahihi  marufu  kwa  jina la  Lumbesa  na  badala yake  kuuza mazao  kwa kutumia vipimo  sahihi  kama mizani .


Akiwahutubia  wananchi  wa kijiji  cha Irindi  na Magana kata  ya  Mahenge wilayani  Kilolo  mkuu  wa   wilaya  ya  Kilolo  Asia Abdala leo  wakati  wa  ziara  yake  ya  kukagua miundo  mbinu ya elimu  na uhamasishaji  wananchi  kushiriki  shughuli  za uzalishaji mali ,mkuu  huyo  alisema  kuwa  iwapo wananchi  hao  watakubali  kuuza mazao yao kwa  ujazo batili hatua  kali  itachukuliwa kwa  muuzaji na mununuzi .

zaidi  soma gazeti la mtanzania kesho

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE