May 3, 2017

WANAHABARI MKOA WA SIMIYU WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

Wanahabari mkoa wa Simiyu wakiwa katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani, kitaifa maadhimisho haya yanafanyika mkoa wa Mwanza 
Wanahabari wakiendelea kufuatilia matukio kupitia mitandao ya kijamii 
Wanahabari wakifuatilia mada mbali mbali

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE