May 10, 2017

VYOO VYOTE KUWA KWENYE UBORA KUFIKIA 2025

unnamed
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza mbele ya wabunge na wadau mbalimbali wa afya na mazingira hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kampeni ya yautunzaji wa mazingira ijulikanayo kama “NIPO TAYARI”iliyofanyika leo mjini Dodoma.
A
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kulia akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa kampeni ya yautunzaji wa mazingira ijulikanayo kama “NIPO TAYARI”uliofanyika mjini leo mjini Dodoma.
A 1
Waziri wa Afya, maendeleo yaJamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katikati akiwa amebeba nembo inayoashiria uzinduzi wa kampeni ya kutunza mazingira ijulikanayo kama “NIPO TAYARI” uliofanyika mjini Dodoma , wengine ni wadau mbalimbali wa mazingira pamoja na baadhi ya wabunge.
A 2
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kushoto akiteta jambo na Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bw. Suleiman Jaffo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya yautunzajiwa mazingira ijulikanayo kama “NIPO TAYARI” uliofanyika mjini leo mjini Dodoma.
Pichana Ally Daud-WAMJW DODOMA
…………………………..
Na Ally Daud-WAMJW DODOMA
SERIKALIiimedhamiriakuboreshakiwango cha vyoo bora  mjininavijijinikutokaasilimia 35 hadiasilimia 55 kufikiamwaka 2025 ilikujengataifalenyeafya bora nalisilonamaambukiziyamagonjwayatokanayonauchafuwavyoo.
Akizungumzahayokwenyeuzinduziwakampeniyautunzajiwamazingiraijulikanayokama “NIPO TAYARI” WaziriwaAfya,MaendeleoyaJamii, Jinsia ,WazeenaWatotoUmmyMwalimuamesemakuwaSerikaliimepaniakufikishaasilimiayauborawavyoompakakufikia 2030.
“Hatuahiiitafikiwaendapokwapamojatutasukumambeleajendayausafiwamazingirakwakushirikiananawadaumbalimbalihasakatikaujenziwavyoobora,utupajisalamawa taka ngumu,upatikanajiwamajisalamakwamikonomiwili” alisemaWaziriUmmy.
AidhaWaziriUmmyamesemakuwayapomafanikioyaliyofikiwakatikakupunguzakasiyawatukujisaidiaovyotabiaambayonikisababishi cha maambukiziyamagonjwamengikatikajamii.
MbalinahayoWaziriUmmyalitoaraikwawanasiasawenginekushirikiananawananchikatikamajimboyaoilikusukumakwavitendoajendayaUsafiwaMazingiranchini .
Kwaupande wake NaibuwaziriOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaBw. Suleiman Jaffoamesemakuwawatanzaniawawamijininavijijiniwawemstariwambelekatikakuhakikishawanatumiavyoo bora kila kaya ilikuepukamagonjwayakuambukiza.
NayeNaibuWaziriwamajinaumwagiliajiMhandisiIsackKamwelweamesemakuwailikuendananakasihiyowamejipangakuhakikishashulezotezamsinginasekondarinchinizinapatamajisafinasalamakwawakatisahihi.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE