May 19, 2017

UKIMTEGEMEA MUNGU UTASHINDA, TUANZE SIKU NA MUNGU TUOMBE.....Kwa uwezo wako Mungu tumeamka Salama tunakushukuru kwa ulinzi wako tunaomba uzidi kutulinda Ee  Mungu wetu.

Kwa kuwa wasafiri wote wanakutegemea wewe pekee ndio utakaowafikisha Salama pia wakulima,wafanya kazi ,wanafunzi na hata wagonjwa wote twakutegeme Mungu.

Hivyo twaomba Mungu Uzidi kutupigania na utuepushe na mabaya yote  .

AMEN

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE