May 8, 2017

RC IRINGA AMINA MASENZA AONGONZA MKUTANO WA WADAU WA VYOMBO VYA HABARI IRINGA

Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa  Amina Masenza  akifungua mkutano  wa wadau   wa  vyombo  vya habari  ulioandaliwa na chama cha waandishi  wa  habari  mkoa wa Iringa(IPC) kuadhimisha  siku ya  uhuru wa  vyombo  vya habari  ambayo  kitaifa  iliadhimishwa mkoani Mwanza Mei  3  mwaka  huu   na  mkoa wa Iringa  umefanya  leo  katika  ukumbi wa VETA
Kamanda  wa  polisi  mkoa wa Iringa Julius  Mjengi  akizungumza  na  wanahabari juu ya  kusaidiana na  jeshi la  polisi kupambana na vitendo  vya  ubakaji
mkuu wa wilaya ya  Iringa   Richard  Kasesela  na  kamanda  wa  polisi mkoa  wa  Iringa Julius Mjengi wakiwasili katika  mkutano  wa  wadau  wa  vyombo  vya  habari mkoa  wa  Iringa
Wanahabari  mkoa  wa  Iringa  wakiwa katika  picha ya  pamoja na mgeni  rasmi mkuu wa mkoa  wa Iringa Amina Masenza  wa tatu  kutoka  kulia  waliokaa  ,wa kwanza  ni kamanda  wa polisi  mkoa wa Iringa  Julius Mjengi ,katibu  wa IPC Tukuswiga  Mwaisumbe ,mwenyekiti wa IPC  Frank  Leonard  ,mkuu  wa  wilaya ya  Iringa Richard Kasesela na Rais mstaafu  wa  UTPC Keneth  Simbaya

Wanahabari  wanawake  mkoa  wa  Iringa  wakiwa  katika  picha ya  pamoja na mgeni rasmi  na  meza  kuu
Katibu  wa IPC  Tukuswiga  Mwaisumbe  akimpokea  mkuu wa  mkoa  Amina Masenza
Mjumbe  wa  IPC  Jackson  Manga akifurahi jambo na  mkuu  wa  mkoa  wa  Iringa  Amina Masenza

Mkuu wa  wilaya ya  Iringa  Richard  Kasesela  akipokelewa na  mwenyekiti wa IPC  Frank  Leonard  aliyevalia  suti  ya  kiwango  cha lami
Kamanda  wa  polisi  mkoa  wa  Iringa  Julius  Mjengi  akimpigia  saluti  mgeni rasmi  mkuu wa  mkoa  wa Iringa Amina Masenza (hayupo pichani)  kabla ya  kutoa  salam  za  jeshi la  polisi  katika  mkutano wa wadau  wa  vyombo  vya habari leo
rais  mstaafu wa UTPC  Keneth  Simbaya  akichangia  mada leo

Mkuu  wa mkoa  wa Iringa Amina Masenza kulia  ,mwenyekiti  wa IPC FRank  Leonard na mkuu wa  wilaya ya  Iringa  Richard Kasesela  wakiwaongoza  wanahabari  mkoa  wa Iringa sala  fupi ya  kuwakumbuka  wanafunzi wa  mkoa  wa Arusha  waliopoteza maisha katika ajali  ya gari
Rais  mstaafu  wa  UTPC  Keneth  Simbaya  akichangia  mada  siku ya  uhuru wa  vyombo  vya habari mkoani Iringa
mkuu  wa  wilaya ya  Iringa  Richard  Kasesela  akichangia  mada kwenye mkutano  wa wadau  wa  vyombo  vya habari  leo

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE