May 27, 2017

NI LINI SERIKALI ITATUMIA MAKUSANYO YAMAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA KUBORESHA NYUMBA HII YA CHIFU MKWAWA KALENGA ?

Hii  ni  nyumba aliyoishi  chifu  Mkwawa  iliyopo  kalenga  ikiwa katika hali mbaya  zaidi
Nyufa  zikiendelea  kuzunguka  nyumba   hiyo
Hivi  ndivyo viongozi  wa  kitaifa  wakifika Kalenga  nyumba   hii inavyofunikwa kwa vitaambaa
Jino  la Chifu Mkwawa  lililoibwa  na  wajerumani kasha  kulirejesha  wenyewe  baada ya  kuwatesa


USIKOSE Makala  haya yatakujia  hapa na gazeti la Rai

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE