May 18, 2017

MSAADA TUTANI , ABIRIA WAKISAIDIA KUVUTA BASI LILILOKWAMA MLIMANI

Abiria  wa  basi la Mwafrika  linalofanya  safari zake  kati ya  Iringa mjini na Idete  Kilolo  wakisaidia  kuvuta basi hilo baada ya  kushindwa  kupishana na  lori la mbao  eneo la  kona za  mlima Kidabaga  jana  na  kupelekea  abiria  kukwama  eneo hilo  toka saa 9 alasiri  hadi saa 1.45  usiku
Hivi  ndivyo basi hilo na Lori  lilivyokwama  kwa  kushindwa  kupishana

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE