May 3, 2017

MREMBO HUYU TAPELI ANASWA MIYOMBONI IRINGA

Ama kweli za mwizi arobaini na urembo wa mtu usiuamini huyu pichani ni mrembo wa sura mkazi wa mjini Iringa aliyekamatwa leo eneo Miyomboni Iringa kwa utapeli wa pesa kupitia mtandao wa m-pesa 

Ametapeli shilingi 350,000 na kakamatwa pamoja na uzuri wake kumbe ni mwizi aibu picha na Devotha Romanusi wa Nuru FM

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE