May 12, 2017

MMILIKI WA LUCKY VINCENT AFIKISHWA MAHAKAMANI

Mmiliki wa shule ya Lucky Vincent ambaye anatambulika kwa majina ya Innocent Mushi amefikishwa kartini leo jijini Arusha na kusomewa mashataka manne kuhusu ajali ya gari lake ambalo lilikuwa limewabeba wanafunzi siku ya ajali.
Mmiliki wa shule ya Lucky Vincent, Innocent Mushi .
Baada ya kufikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka, korti ya Arusha yawaachia huru mmiliki wa shule Innocent Mushi na Makamu Mkuu wa shule hiyo Logino Vicenti kwa dhamana ya Sh15m kila mmoja.
Watuhumiwa hao walifikishwa mahakamani le baada ya gari yao aina ya 'coaster' kusababisha vifo vya watu 35 baada ya kutumbukia katika korongo na kukatisha uhai wa wanafunzi wa shule ya Lucky Vincent Nursery & Primary School 32, walimu wawili wa shule hiyo pamoja na dereva ambaye alikuwa akiendesha gari hiyo.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE