May 28, 2017

MBUNGE AIVUNJA NDOA YA MTUMISHI WA SERIKALI

Image result for wafumaniwa  wanandoa
Mbunge  mmoja  wa bunge la jamhuri ya  muungano  wa Tanzania  kupitia  chama X ameivunja  ndoa  ya mmoja kati ya  watumishi wa Halmashauri X mkoani  Iringa  mtandao huu  wa matukiodaima utakujia  na full stori ya  mtumishi   huyo mwanamke ambae ni  mmoja kati ya  wakuu wa idara kwenye  Halmashauri  yake hapa  mkoani Iringa .


UKIMWI Iringa bado upo watumishi wa umma na  viongozi  wa kisiasa bado  mnawajibu  wa kuwa  kioo cha jamii kwa  kuelimisha  juu ya UKIMWI na  watu  kutulizana katika ndoa  zao na  sio kuhamasisha ngono  zembe
Hivyo msomaji  jiandaa  kwa kupata  jina la mbunge  huyo na chama  chake na  jina kamili  na  picha  ya mwanamke  huyo  mtumishi walioamua  kuvunja amri  ya sita ....

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE