May 10, 2017

MATUKIO YA MATUKIODAIMA KILOLO

Wanafunzi wa  shule ya Msingi  Mlowa  kata ya  Mahenge wilaya ya  Kilolo  wakicheza mpira wa miguu  katika  uwanja mmoja kutokana na shule  hiyo kukosa viwanja  vya michezo
Mwanahabari Clement  Sanga  akiwa  amezungukwa na  wanafunzi  wakati  akimmoji mmoja kati ya  wananfunzi juu ya michezo
Wachezaji  hawa wa  shule ya Msingi Mlowa Kilolo  wakivizia mpira
Harakati ya  kuvizia mpira
Wanafunzi  shule ya  Msingi Mlowa  wakijisomea
Wanafunzi  shule ya Msingi Mahenge  wakiwa darasani  huku madirisha  yakiwa yameharibika
Mwanahabari  Nyaulingo  akisafiri  kwenda ziara kata ya  Mahenge
Dc  Kilolo Asia  Abdalah  kushoto  akipokelewa na viongozi kata ya Mahenge
Uwezo wa  kisoka

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE