May 9, 2017

MAMIA WAMLILIA MDAU WA MATUKIODAIMA EMMY TENGA IRINGA ,MWILI WAKE WAAGWA KWENDA MHEZA TANGA

Lidya  Lukuvi  akiaga  mwili wa aliyekuwa mfanyakazi  wa chuo  cha  VETA  Iringa  Emmy  Tenga  aliyefariki dunia jumapili  mkoani  Iringa
waombolezaji akiwemo  Thom Malenga  katibu  wa mbunge Wiliam  Lukuvi  na  mdau  mkubwa  wa makundi  ya  matukiodaima na  mtandao  wa  matukiodaima (mwenye  shati  ya  drafti )  akiwa na  majonzi  ya  kifo  cha mdau  mwenzake mcheshi  Emmy  Tenga
Wafanyakazi  wa  VETA  Iringa  wakiwa  katika  nyuso  za  majonzi
Mdau  wa Matukiodaima Agnes  Kivike  akimuanga  mdau  mwenzake Emmy Tenga  a.k.a mama  mchungaji
Wanafunzi  wa  VETA  wakitoa  heshima  zao  za  mwisho
Mfanyakazi  mwenzake na  Emmy  akipoteza  fahamu
Nenda   salama  Emmy  Tenga  umeacha  watoto  wawili  na  umetuacha  na  simanzi safari  yako  ni  yetu  sote  wewe  umetangulia  kutuandalia  makazi mtandao  wa matukiodaima  na  wadau  weke  umepoteza  mdamu  wake  mkubwa na  si mdau  tu  bali  wewe  katika  familia ya mmiliki  wa  matukiodaima  ulikuwa  kama  ndugu hukuacha kushiriki matukio  yote  yaliyoigusa  familia yetu najua dadangu  Anna  Godwin na mamangu  Lidya Lukuvi  na  wote  waliokufahamu  kama  mtwa  Lukuvi ,Thom Malenga  na  wote  waliokufahamu bado hawaamini kama  kweli umetutoka  salimia  wote huko  uendako uongozi  wa  VETA  Iringa unaungana na mtandao  wa  matukiodaima katika wakati  huu  wa  maombolezo
Bwana ametoa  na  bwana  ametwa jina  lake  lihimidiwe  Daima
Amen

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE