May 22, 2017

MAJERUHI WA LUCY VINCENT WAANZA KUZUNGUMZA

Madaktari wa Hospitali ya Mercy, ya Marekani wamesema watoto  watatu majeruhi wa ajali ya Lucky Vincent, wanaendelea vyema.
 Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameandika katika ukurasa wake wa faceboook kuwa watoto hao Saidia Ismael, Doreen Mshana na Wilson Tarimo  watapelekwa katika makazi maalum ya kuangalia afya zao ikiwa ni pamoja na kupewa mazoezi ya viungo.
Pia watoto hao wameanza kuzungumza na kwa mara ya kwanza mtoto Saidia amesema ‘Helo Tanzania, na Wilson amesema ‘Thank you’.
“Ingawa wataendelea kuwa wodi ya watoto Mercy  Hospital  kwa sasa hadi madaktari bingwa watakapojiridhisha  na hali yao,” ameandika Nyalandu

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE