May 5, 2017

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2017 AMOUR HAMADI AMOUR AKATAA KUZINDUA MRADI WA BWALO LA CHAKULA

Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamadi Amour amekataa kuzindua mradi wa Bwalo la chakula la shule ya msingi Lilondo iliyopo Halmashauri ya wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma baada ya kuona taarifa za maradi huo zinakingana habari kamili hii hapa.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE