May 25, 2017

KILELE CHA SIKU YA KKK MJINI MAFINGA KWA MKOA WA IRINGA LEO

wanafunzi wa shule ya Msingi Mkombwe  wakiwa katika kilele cha siku ya kusoma  ,kuhesabu na kuandika kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Mafinga  leo ,wakati wa kilele cha siku ya  Kusoma
Watumishi wa serikali  wilaya ya  Mufindi  wakiwatazama wanafunzi wa  shule ya  Msingi mji mwema katika halmashauri ya  mji  Mafinga mkoani Iringa  waliokuwa wakionyesha heshima ya kulinda mwenge wa uhuru  uliotengenezwa na wanafunzi hao wakati wa maonyesho ya kilele  cha  siku ya  kusoma ,kuhesabu na kuandika (KKK)   kilichofanyika kimkoa katika  uwanja wa Mashujaa mjini Mafinga  jana (picha na Francis Godwin)

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE