May 12, 2017

HARUFU MBAYA YA UKANDARASI MBOVU BARABARA YA MTWIVILA SEKONDARI YANUKIA ,MAMILIONI YA SHILINGI YATUMIKA

Hii  ndi kazi  ya  ukarabati wa  barabara  za kata ya Mtwivila ulivyofanyika  greda  limeshindwa  hata  kusembua nyasi zilizokuwepo na  kwa mujibu  wa Halmashauri ya  Manispaa ya  Iringa barabara  hii  imetengewa  zaidi ya  milioni 96,kama  kazi  yenyewe ndio hii naomba  chenji  zangu  hii kazi kama  hii  ilishawahi fanyika chini ya  diwani Vitus  Mushi   Enzi hizo kwa  kuhamasisha  wananchi  kuchangia mafuta   na posho ya  dereva  wa Greda na ilifanyika kwa kiasi kama  cha  Tsh  500,000  tu ila  leo  kiasi cha Tsh  milioni  zaidi 96  zimetengwa na  kazi yenyewe  ndio  kama  hii hapana  nasikia harufu ya mbaya  ya matumizi mabaya ya  fedha zetu
Mtandao  wa  matukiodaima unakuja na  ripoti  ya  kiuchunguzi kujua  kazi hii ni pesa  zetu za  walipa kodi  milini zaidi ya 96  zilizotengwa ama kuna  mtu kajitolea  kufukia mashimo ?  vuta  subiri naamsha  Dube

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE